Pages

Monday, August 20, 2018

Hadithi ya Leo - Arafat



Alihadithia 'Abdur-Rahman bin Ya'mar:

Kwamba Mtume wa Allah(S.A.W) alisema: " Haji ni Arafat, Haji ni Arafat, Haji ni Arafat. Siku za mina ni tatu, lakini
yeyote atakaye harakisha akaondoka baada ya siku mbili, basi hamna dhambi kwake, na yeyote atakae baki, basi na yeye pia hamna
dhambi kwake (Qur'an 2:203). Na yeyote atakayeona Arafa kabla ya Alfajiri, basi amesha Hiji."

Ibn Abi 'Umar alisema: "Sufyan bin 'Uyainah alisema: "Hii ndio hadithi bora aliyo hadithia Ath-Thawri."

Narrated 'Abdur-Rahman bin Ya'mar:
that the Messenger of Allah (S.A.W) said: "The Hajj is 'Arafat, the Hajj is 'Arafat, the Hajj is 'Arafat. The days of Mina
are three: But whoever hastens to leave in two days, there is no sin on him, and whoever stays on, there is no sin on him (2:203).
And whoever sees (attends) the 'Arafah before the rising of Fajr, then he has performed the Hajj." 


Ibn Abi 'Umar said: "Sufyan bin 'Uyainah said: 'This is the best Hadith that Ath-Thawri reported.'"   


(Tirmidhi: Book 47, Hadith 3241)

No comments:

Post a Comment