Pages

Tuesday, July 5, 2016

Hadithi ya Leo - Kula kabla ya Salaa ya Eid (Eating before the Eid Prayer)

Eid Mubarak! Tufate sunna ya Mtume ya kufungua kinywa kabla ya Swala ya Eid. Pia msisahau kutoa zakatul fitr na kuzitolea familia zenu.


Imehadithiwa na Anas bin Malik:

Mtume wa Allah(S.A.W) hakuenda kuswali siku ya Eid ul Fitr kabla ya kula tende. Anas pia aliongezea, Mtume alikuwa akila tende kwa idadi ya witiri (1,3,5 n.k).

Narrated Anas bin Malik:

Allah's Messenger (ﷺ) never proceeded (for the prayer) on the Day of `Id-ul-Fitr unless he had eaten some dates. Anas also narrated: The Prophet (ﷺ) used to eat odd number of dates.

No comments:

Post a Comment