"Read! In the name of thy Lord Who createth" - Qur'an 96:1
Pages
▼
Friday, January 15, 2016
Aya ya Leo - Hesabu
Viliomo mbinguni na viliomo duniani ni vya Mwenyezi Mungu. Na mkidhihirisha
yaliyomo katika nafsi zenu au mkayaficha, Mwenyezi Mungu atakuhisabuni kwa hayo.
Kisha amsamehe amtakaye na amuadhibu amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye
uwezo juu ya kila kitu.
To
Allah belongs whatever is in the heavens and whatever is in the earth.
Whether you show what is within yourselves or conceal it, Allah will
bring you to account for it. Then He will forgive whom He wills and
punish whom He wills, and Allah is over all things competent.(Qur'an 2:284)
No comments:
Post a Comment