Pages

Wednesday, October 1, 2014

Makkah 2014 Updates!

Yaani ma haji wetu na vurugu lote la ujenzi, bado wana bahati ya kuona maendeleo wa msikiti na mji wa Makkah. Basi ngoje niwaonyeshe picha za kazi inavyokwenda.



Kazi ni kubwa haswaaa

Kaaba!
Kufanya tawaf sasa sio lazima kubanana kwenye sehemu moja, unaweza pia kwenda kwenye level ya pili au ya tatu, huku una pepewa na feni, na bado ukapata faida zake.



No comments:

Post a Comment