Pages

Thursday, May 1, 2014

Ramadhan Countdown - Happy Rajab!

We are 60 days..ish till Ramadhan. Yipeeeee!!
So we are starting the month of Rajab, which is the July or the 7th month on the islamic calendar.

Mwezi wa Rajabu ni kati ya miezi minne tukufu iliyo tajwa kwenye Qur'an. Mtume Muhammad(S.A.W), alikuwa akiona mwezi umeandama, kuwakilisha ujio wa huu mwezi mtukufu, alikuwa akasomaga hii dua.

اللّهمّ بارك لنا في رجب و شعبان وبلّغنا رمضان

Allāhumm-a bārik lanā fī rajab-a wa shaʻbān-a wa balligh-nā shahra ramaḍān-a

" Ewe Allah, tufanyie hii miezi ya Rajab na Sha'ban ziwe na Baraka kwetu sisi, tujaalie tufike mwezi wa Ramadhani."

"O Allah, make the months of Rajab and Sha'ban blessed for us, and let us reach the month of Ramadhan (i.e. prolong our life up to Ramadan, so that we may benefit from its merits and blessings)."

Happy Rajab folks!

  

No comments:

Post a Comment