Pages

Saturday, May 31, 2014

Mawaidha ya Leo Kutoka kwa Sheikh Idd Mohamed Idd

Mtaniwia Radhi Quality ya Video niliyoforwadiwa sio nzuri. Mada ni kuhusu Bakwata na jinsi wanavyo jiendesha.
Kwanza Bakwata tunawashukuru kwa kazi mnayofanya na kwa kutuwakilisha vyema.
Lakini hapa Sheikh kaongea point, Jamani Bakwata mjipange, na mumweke huyu sheikh karibu yenu sana. Na pia kama mnahijitaji misaada ya watu wakuwasadia kuendesha hichi chama chetu, tangazeni tu, watu wataitika wito, kuna waislamu kibao wanataka kuchangia ujuzi wao ili chama chetu kiendelee. 

1 comment:

  1. Asalamu alaikum,

    JazakAllah khair for sharing , have you heard about the Warning! not to be ignored..

    Take Care

    ReplyDelete