Pages

Friday, November 15, 2013

Verses of the Day - Surat Luqman

And do not turn your cheek [in contempt] toward people and do not walk through the earth exultantly. Indeed, Allah does not like everyone self-deluded and boastful.
And be moderate in your pace and lower your voice; indeed, the most disagreeable of sounds is the voice of donkeys." 

Na usigeuze shavu (kwa jeuri) kwa watu, na usitembee kwenye ardhi kwa maringo, hakika Mwenyezi Mungu hampendi kila ajivunae na ajifahirishaye.
Na Uwe na mwendo wa kati, na teremshe sauti yako, bila shaka sauti ya punda ni mbaya kuliko sauti zote( kwa makelele yake ya bure).  (Qur'an 31: 18-19)
Ijumaa Njema Wandugu!

No comments:

Post a Comment