Yaani, mkulima ananunua mbegu zi kizao kipya kilicho badilishwa na sayansi kidumu magonjwa. Lakini mkulima haruhusiwi kukusanya mbegu wakati wa mavuno, ili kuzipanda tenda. Ni lazima anunue mpya kutoka kwenye kampuni yenye hati za hizo mbegu, akibakwa anafanya kinyume, anashtakiwa mahakamani. Loh! Hiyo si kumfunga mkulima milele. Duh! ndo maana muingereza alikataa hii kitu, lakini bongo tumekubali. Mungu awastiri wakulima wetu wa jembe waelimike na haya maswala.
Pages
▼
Thursday, November 21, 2013
Food Inc - A documentary of The American Food Industry
Wow! is all I can say, if you have the time, check out this video. Someone sent this to me and I couldn't stop watching it. Its long so brace yourself. Enjoy!
Yaani, mkulima ananunua mbegu zi kizao kipya kilicho badilishwa na sayansi kidumu magonjwa. Lakini mkulima haruhusiwi kukusanya mbegu wakati wa mavuno, ili kuzipanda tenda. Ni lazima anunue mpya kutoka kwenye kampuni yenye hati za hizo mbegu, akibakwa anafanya kinyume, anashtakiwa mahakamani. Loh! Hiyo si kumfunga mkulima milele. Duh! ndo maana muingereza alikataa hii kitu, lakini bongo tumekubali. Mungu awastiri wakulima wetu wa jembe waelimike na haya maswala.
Yaani, mkulima ananunua mbegu zi kizao kipya kilicho badilishwa na sayansi kidumu magonjwa. Lakini mkulima haruhusiwi kukusanya mbegu wakati wa mavuno, ili kuzipanda tenda. Ni lazima anunue mpya kutoka kwenye kampuni yenye hati za hizo mbegu, akibakwa anafanya kinyume, anashtakiwa mahakamani. Loh! Hiyo si kumfunga mkulima milele. Duh! ndo maana muingereza alikataa hii kitu, lakini bongo tumekubali. Mungu awastiri wakulima wetu wa jembe waelimike na haya maswala.
No comments:
Post a Comment