Pages

Thursday, March 21, 2013

Rais Kikwete azindua jengo la kitivo cha sayansi chuo kikuu cha kiislamu cha morogoro

The Muslim University of Morogoro is growing, taratibu tutafika. It has recently added a faculty of Science for their Bachelors of Science in Education. YEY!!!!!!
Below are pictures I nabbed from Ikulu Blog that show President Kikwete's visit for the opening of the Faculty of Science at the University.
 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba huku akishangiliwa

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mama Mwantumu Malale akiongea machache na kumkaribisha Rais Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo katika sherehe za uzinduzi wa jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo

Our Next Generation of Scholars in all sectors. Mashallah!

 Picha na viongozi wa wanafunzi 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo
  A tour on one of the labs!

Department of Information and Communication Technologies coming soon!

 Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Hamza Mustafa Njozi akisoma ripoti  ya chuo kwa Rais Kikwete 

Morogoro Mji kasoro bahari Mpo Juu!


No comments:

Post a Comment