Pages

Sunday, February 3, 2013

China: Sinkhole swallows up huge building complex

Sinkhole ni shimo linatokea kwenye uso wa ardhi.Yanaweza kutokea ghafla au yatachukua muda, na yako sehemu tofauti duniani. Kwenye Miji mikubwa, husababishwa na maji yanapo katika au ma bomba ya maji machafu yakiharibika.  Husababishwa pia na maji mengi yanayo vutwa kutoka ardhini, kama vile visima vikiwa vingi sana eneo moja. Hii video inaonyesha hili shimo lilitokea kwenye mji wa Guangzhou, China.


Shimo hili kweli lili meza magorofa. Jamani Dar tuna ma skyscrapper yana ebuka every day, I am really hoping Dar City Planners wana pima ardhi, na wana hakikisha infrastructure yetu (drainage system etc) inaweza ku support na ku avoid vitu kama hivi. Labda waanze ku regulate visima kwenye certain areas, because miji kama Arusha mjini, visima vimezagaa. Alhamdullillah, hakuna aliyekufa kwenye hili jangwa. 


No comments:

Post a Comment