Pages

Friday, November 16, 2012

Aga Khan Foundation Scholarships - Study for Free

Haya tuuanze mwaka vizuri. Aga Khan anatoa scholarship kwa wanachi wa Tanzania, Kenya na Uganda, kwa wanao taka kusomea Masters au PHD. Wasomi wanatakiwa kuwa na grade nzuri ya degree ya kwanza, na pia kudhibitishi kutokua na uwezo. Wao wanakulipia nusu ya scholarship, na nusu nyingine ni mkopo, ambao unatakiwa kuulipa miaka mitano baada ya kumaliza shule. Nafasi zinapewa kwanza kwa wanafunzi wenye chini ya miaka 30.
  • Ingia hapa kwa maelezo zaidi.
    Sasa mimi ningekushauri hivi.
    Apply shule hii hapa ipo marekani state ya Minnesota inaitwa Winona State University. Click hapa. 
    Wao wanatoa scholarship kwa wanafunzi wa nje ya nchi kulipa kama raia wanavyo lipa. Hapo ni kwamba wanakulipia 50% ya ada yako ya chuo. Then apply hiyo Aga Khan Foundation, au kama unaweza kupata mfadhili pia ni sawa. Mwisho wa siku, utakuwa na mkopo mdogo zaidi wa kulipa.


No comments:

Post a Comment