Pages

Thursday, September 6, 2012

Msomi wa Leo - Ismail Musa Menk

Ismail Musa Menk ni mzaliwa wa Zimbabwe.Yeye alifundishwa dini na baba yake. Ni Hafiz wa Qurani na ana cheti cha chuo kikuu cha Medina kwenye kipengele cha Sheria. 
Msikilize mwenyewe Mufti anakupa somo ya Tafsiri ya Al-fatiha (Kifungulio).
Al-fatiha kweli ni surah powerful na ya kipekee. Mufti anakufundisha mpaka unavyo takiwa kuisoma, ina namna yake ati.

No comments:

Post a Comment