Sivyo hivyo! Yeyote anaye elekeza uso wake kwa Mwenyezi Mungu naye ni 
mtenda mema, basi ana malipo yake kwa Mola wake Mlezi, wala haitakuwa 
khofu juu yao wala hawatahuzunika. 
Nay,-whoever submits His whole 
self to Allah and is a doer of good,- He will get his reward with his 
Lord; on such shall be no fear, nor shall they grieve. (Qur'an 2:112) 
No comments:
Post a Comment