Pages

Friday, April 27, 2018

Aya ya Leo - Jitayarishe kwa Kesho (Prepare for Tomorrow)


 

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kila nafsi iangalie inayo yatanguliza kwa ajili ya Kesho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari ya mnayo yatenda.
 
O you who have believed, fear Allah . And let every soul look to what it has put forth for tomorrow - and fear Allah . Indeed, Allah is Acquainted with what you do. (Qur'an 59:18)

Ijumaa Njema wandugu. 
Zimebaki siku chache tu Mwezi wa Ramadhani uanze, Mwenyezi Mungu atupe uhai.

Friday, April 6, 2018

Aya ya Leo - Tumaini (Trust)



Na mtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni wa kutegemewa. 
And put thy trust in Allah, for Allah is sufficient as Trustee. 
(Qur'an 33:3)

Zimebaki siku 10 za Rajab wandugu, lets make it count.
Jumaa Mubarak!