Pages

Wednesday, December 9, 2015

Happy Usafi... I mean Uhuru Day

Alhamdullilah tumeweza kuona. Tumshukuru Allah kwa kutupa uzima.

Friday, December 4, 2015

Aya ya Leo - Wivu

 Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.

 

If good touches you, it distresses them; but if harm strikes you, they rejoice at it. And if you are patient and fear Allah , their plot will not harm you at all. Indeed, Allah is encompassing of what they do.  

(Qur'an 3:120)