[Alikutumieni] Mtume [Muhammad] anaye kusomeeni Aya za Mwenyezi Mungu zinazo bainisha,
ili kuwatoa walio amini na wakatenda mema kutoka gizani kuwapeleka kwenye
nuru. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na akatenda mema, atamwingiza
katika Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Mwenyezi Mungu
amekwisha mpa riziki nzuri.
[He
sent] a Messenger [Muhammad] reciting to you the distinct verses of
Allah that He may bring out those who believe and do righteous deeds
from darkness into the light. And whoever believes in Allah and does
righteousness - He will admit him into gardens beneath which rivers flow
to abide therein forever. Allah will have perfected for him a
provision. (Qur'an 65:11).
Mwenye uwezo atumie (atoe) kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atumie(atoe) katika
alicho mpa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri
ya alicho mpa. Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraja.
Let
the rich man spend according to his means, and the man whose resources
are restricted, let him spend according to what Allah has given him.
Allah puts no burden on any person beyond what He has given him. Allah
will grant after hardship, ease. (Qur'an 65:7)