Translate

Friday, May 31, 2013

Wednesday, May 29, 2013

Matangazo ya Kazi - Hospitali ya Muhimbili

Haya wadau, Muhimbili kuna kazi kebe kebe, shindwa mwenyewe tu.

1.MEDICAL SPECIALIST I (5 POSITIONS)
2.MEDICAL SPECIALIST II (57POSITIONS)
3.MEDICAL OFFICER II (83 POSITIONS)
4.PHARMACISTS II (7 POSITIONS)
5.SENIOR NURSING OFFICER I (1 POSITION)
6.SENIOR NURSING OFFICER II (1 POSITION)
7.NURSING OFFICER I (11 POSITIONS)
8.NURSING OFFICER II (10 POSITIONS)
9.ASSISTANT NURSING OFFICER I (10 POSITIONS)  
10. HEALTH RECORD ASSISTANT
11. INTERNAL AUDIT II and many more. 
 
Yaani ni kama wamejenga ward mpya.
Bofya hapa utafute nafasi inayokufaa u apply. 
 
Peleka CV hapa:
 
Executive Director,
Muhimbili National Hospital,
P.O BOX 65000,
Dar es Salaam.
 
Jamani habari hiyo ndio hiyo, sasa kama kuna mtu unamjua anatafuta kazi, mshtue basi. 
 
 
 

Saturday, May 25, 2013

Nyumba za Container

Homes made from WHAT? No I didn't hear correctly, Eti Nini? Shipping Containers?
   No Way!
Okay this I can see



 could have fooled me


             Who says I can't have a balcony?

Why are we all squashed in cities when there is plethora of open land?


Lake view property?


Yayayaya! I can live here.


Who says building an apartment complex is expensive.


Oh LaLa!


Cute but I think I would need some kind of pole to hold that end.

Oh My, Look at the inside of that finished job.


Home is how you make it, as long as its cute and comfy, it can look very expensive.
Enjoy your weekend everyone.

Friday, May 24, 2013

Kisa cha Nabii Yusuf

Mawaidha ya Leo kutoka kwa sheikh wetu home grown, Othman Maalim.


Nawaacha na hii Hadithi.
Mtume Mohamed (S.A.W) alisema: Mwenyezi mungu alivyo tuumba,aliandika kwenye kiti chake cha enzi, Hakika rehema zangu zinazidi hasira zangu.

Prophet Muhammad (S.A.W) said: "When Allah created his creatures He wrote above His throne:
Verily, my compassion overcomes my wrath." 

[Hadith Qudsi from Sahih Bukhari and Muslim]


Ijumaa Karimu Wadau!
 

Friday, May 17, 2013

Islamic Call for prayer by Yusuf Islam

Listen to his recording of the Islam call for prayer (Adhan) with English Subtitles.

Ijumaa karimu wadau!

Thursday, May 16, 2013

Qaswida kutoka Uingereza Leo - Yusuf Islam

 

Yusuf Islam aka Cat Stevens was born July 21st 1948 in London, United Kingdom. He is a British singer-songwriter, humanitarian and education philanthropist. He started his singing career early on in his life, but his big break came at the age of 18 in 1966 when he recorded his first demo. Yusuf has won many Music and Humanitarian awards throughout his life time and he continues doing great work to give back to humanity till this day. In 1981, he founded the Islamia Primary School in Salusbury Road in London, and also several other Muslim Secondary Schools. He founded The Association of Muslim Schools in UK in 1992, a charity that joined all the Muslim schools in the UK. He also founded the Small Kindness,a charity that supports orphans and families in many parts of the world. He currently lives in the UK with his wife, he has 5 children, 1 son and 4 girls, 2 granddaughters and 1 grandson, he lost a son who survived for 13 days and passed due to a fatal heart ailment.
 

Zile video za dini za cartoon karibia zote nilizozi posti humu ni production company yake. Mwenyezi Mungu azidi kumfungulia milango yake ya kheri na ampe baraka zake hapa duniani na Akhera.

Bismillah

When should you say Bismillah? A little reminder from our little friends.Enjoy!



Wednesday, May 8, 2013

Five Pillars of Islam - Nguzo Tano za Kiislamu

A little educational video of the five pillars of Islam by Discover Islam.

 

1. Imani ya Mungu Mmoja
2. Swalah
3. Zakkah (Sadaka Kubwa ya asilimia 2.5% ya kipato chako)
4. Kufunga Ramadhani
5. Kuhiji Makkah kwa wenye uwezo.

Tujitahidi kutelekeleza angalau manne ya hayo matano.

Monday, May 6, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. GHARIB BILAL AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MLIPUKO JIJINI ARUSHA

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Restuta Alex (50) aliyelazwa katika Hospitali ya Mount Meru, baada ya kujeruhiwa katika tukio la mlipuko wa Bomu uliotokea katika hafla ya uzinduzi wa Kanisa jipya la Katoliki Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti jana mchana, jijini Arusha.…
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti, Josephat Lebulu, wakati alipowasili nyumbani kwa askofu huyo jijini Arusha jana kumfariji kutokana na tukio la mripuko wa bomu lililotokea jana mchana, jijini Arusha kwenye hafla ya uzinduzi wa Kanisa hilo.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali mtoto Kelvin Albert (3) aliyelazwa katika Hospitali ya Mount Meru, baada ya kujeruhiwa katika tukio la mlipuko wa Bomu uliotokea katika hafla ya uzinduzi wa Kanisa jipya la Katoliki Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti jana mchana, jijini Arusha. Kushoto ni Mama wa mtoto huyo
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali mtoto Gabriel Godfrey (9) aliyelazwa katika Hospitali ya Mount Meru, baada ya kujeruhiwa katika tukio la mlipuko wa Bomu uliotokea katika hafla ya uzinduzi wa Kanisa jipya la Katoliki Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti jana mchana, jijini Arusha.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Vatcan na mwakilishi wa papa Francis, Askofu Francisco Montecillo, walipokutana nyumbani kwa Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti, Josephat Lebulu, alipofika kumfariji kutokana na tukio la mripuko wa bomu lililotokea jana mchana, jijini Arusha.
(PICHA NA OMR)

Hatari; Bomu larushwa kanisani Arusha, mmoja afariki

Arusha.Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 59 kujeruhiwa akiwamo Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Askofu Mkuu Francisco Montecillo Padilla jana asubuhi baada ya mtu asiyejulikana kurusha bomu wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Jengo la Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Olasiti, Arusha.
Miongoni mwa majeruhi, imeelezwa kuwa wanne ni mahututi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amelielezea kuwa tukio hilo kuwa ni la kigaidi hasa kutokana na kumlenga Balozi wa Papa nchini na kwamba mtu mmoja anashikiliwa akihusishwa nalo.
Wataalamu wa mabomu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wanachunguza aina ya bomu lililotupwa lakini uchunguzi wa awali unaonyesha lilikuwa limetengenezwa kienyeji.

Bofya hapa kwa habari zaidi kutoka gazeti la Mwananchi....

Ina lillahi wa Ina Illahi Rajiun. Kwa Mwenyezi Mungu ndio tunapotoka na ndio marejeo. Jamani hizi habari zinasikitisha sana, inakuwaje Binadamu hatuziheshimu tena sehemu za ibada, absolutely terrible. Nawaombea familia za marehemu na walioumia.

Update! 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo alisema watu tisa wamekamatwa hadi sasa.
Aliwataja baadhi yao kuwa ni Victor Ambrose na wengine aliowataja kwa jina mojamoja ni Joseph na David. Alisema wengine ni raia watatu wa Saudi Arabia, ambao walikuwa na wenyeji wao wawili na Watanzania wengine watatu. Wa Saudi waziri mkuu alisema bungeni wataachiwa. Soma Habari Zaidi Mwananchi



Thursday, May 2, 2013

McDonald's settles $700,000 lawsuit over Islamic food preparation

So the day before Yesterday, KFC opened a branch in Dar Es Salaam at the Mikocheni Area. Parking was ridiculous, there were cars parked all the way up the street. Not sure if they are Halal or not, I hope they are, as they are in Dar after all. I came across this article today, Mc Donald's was sued for false advertisement of Halal meat, its old news I know but an interesting read nonetheless. Now before you panic and think its every Mc Donald's, this one is in Michigan. I nabbed this article from The Telegraph.

 
 McDonald's and one of its franchise owners agreed to pay $700,000 to members of the Muslim community to settle allegations a Detroit-area restaurant falsely advertised its food as being prepared according to Islamic dietary law.

McDonald's and Finley's Management Co. agreed Friday to the tentative settlement, with that money to be shared by Dearborn Heights resident Ahmed Ahmed, a Detroit health clinic, the Arab American National Museum in Dearborn and lawyers.

Ahmed's attorney, Kassem Daklallah, told The Associated Press on Monday that he's "thrilled" with the preliminary deal that's expected to be finalized March 1. McDonald's and Finley's Management deny any liability but say the settlement is in their best interests.

The lawsuit alleged that Ahmed bought a chicken sandwich in September 2011 at a Dearborn McDonald's but found it wasn't halal - meaning it didn't meet Islamic requirements for preparing food. Islam forbids consumption of pork, and God's name must be invoked before an animal providing meat for consumption is slaughtered.